2013
Mahojiano Yako ya Kibinafsi na Mungu
Aprili 2013


Vijana

Mahojiano Yako ya Kibinafsi na Mungu

Rais Eyring hufundisha kuwa tunaposikiliza maombi ya sakramenti, tunaweza kuhisi kama tunakuwa na mahojiano ya kibinafsi na Mungu. Rais Eyring hufikiri kuhusu sehemu tatu zifuatazo. Zingatia kuandika maswali haya katika jarida lako na kuyatafakari kila Jumapili mwezi huu. Unapotafakari na kupokea ushawishi kutoka kwa Roho Mtakatifu, unaweza kuandika kuhusu hizo katika jarida lako.

  • Nimefanya nini ambacho kimempendeza Mungu?

  • Ninahitaji kutubu na kuomba msamaha kwa nini?

  • Mungu angenitaka nimtumikie nani?