2020
Kwa Nini Mfalme Benyamini Anatualika Tuwe Kama Mtoto Mdogo?
Aprili 2020


Njoo, Unifuate: Kitabu cha Mormoni

Kwa Nini Mfalme Benyamini Anatualika Tuwe Kama Mtoto Mdogo?

Aprili 13–19 Mosia 1–3

Picha
Why Does King Benjamin Invite Us to Become Like a Child

Je, umewahi kujisikia moyo wako ukilainika wakati ambapo umemtazama mtoto? Watoto kwa kawaida hunena kutoka moyoni na huonesha upendo na kauli rahisi za imani. Mwokozi alifundisha, “Yeyote ajinyenyekeshaye mwenyewe kama mtoto huyu, huyo ndiye aliye mkuu katika ufalme wa mbinguni” (Mathayo 18:4).

Hii inaweza kuwa sababu moja ya Mfalme Benyamini kuwataka watu wake kumvua mwanadamu wa kawaida na kuwa kama vile watoto (ona Mosia 3:19).

Ni kwa jinsi gani tunaweza kuwa kama watoto? Rejelea Mosia 3:19 ili kujaza nafasi zilizo wazi kwa kutumia maneno ambayo mfalme Benyamini alitumia kuelezea mtu ambaye ni kama mtoto.

1.___________________________

2.___________________________

3.___________________________

4.___________________________

5.___________________________

6.___________________________

Wiki ya 3

Kuwa kama mtoto mdogo kunatuwezesha kumkaribia Kristo na kupata uzoefu wa furaha ya kuwa Watakatifu kupitia Upatanisho Wake.

Mnamtumikia tu Mungu Wenu, na Walter Rane