Mkutano Mkuu
Kuwakubali Viongozi Wakuu wenye Mamlaka, Sabini wa Maeneo, na Maafisa Wakuu
Mkutano mkuu wa Aprili 2022


Kuwakubali Viongozi Wakuu wenye Mamlaka, Sabini wa Maeneo, na Maafisa Wakuu

Wakina kaka na wakina dada, sasa nitawasilisha kwenu Viongozi Wakuu Wenye Mamlaka, Sabini wa Maeneo, na Maafisa Wakuu wa Kanisa kwa ajili ya kuwakubali.

Tafadhali onesha kukubali kwako katika njia iliyozoeleka po pote ulipo. Kama wapo wanaopinga mapendekezo yo yote yatakayo tolewa, tunaomba kwamba muwasiliane na rais wenu wa kigingi.

Inapendekezwa kwamba tumkubali Russell Marion Nelson kama nabii, mwonaji, na mfunuzi na Rais wa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa Siku za Mwisho; Dallin Harris Oaks kama Mshauri wa Kwanza katika Urais wa Kwanza; na Henry Bennion Eyring kama Mshauri wa Pili katika Urais wa Kwanza.

Wale wanaounga mkono, waoneshe.

Wale wanaopinga, kama wapo, wanaweza kuonesha.

Inapendekezwa kwamba tumkubali Dallin H. Oaks kama Rais wa Akidi ya Mitume Kumi na Wawili na M. Russell Ballard kama Kaimu Rais wa Akidi ya Mitume Kumi na Wawili.

Wale wanaounga mkono, tafadhali onesheni.

Ye yote anayepinga anaweza kuonesha.

Inapendekezwa kwamba tuwakubali wafuatao kama washiriki wa Akidi ya Mitume Kumi na Wawili: M. Russell Ballard, Jeffrey R. Holland, Dieter F. Uchtdorf, David A. Bednar, Quentin L. Cook, D. Todd Christofferson, Neil L. Andersen, Ronald A. Rasband, Gary E. Stevenson, Dale G. Renlund, Gerrit W. Gong, na Ulisses Soares.

Wale wanaounga mkono, tafadhali onyesheni.

Ye yote anayepinga anaweza kuonyesha.

Inapendekezwa kwamba tuwakubali washauri katika Urais wa Kwanza na Akidi ya Mitume Kumi na Wawili kama manabii, waonaji, na wafunuzi.

Wote wanaounga mkono, tafadhali onesheni.

Kinyume, kama kuna yeyote, kwa ishara hiyo hiyo.

Sabini wa Maeneo wafuatao wamepumzishwa kutoka katika majukumu yao: Mark D. Eddy, Ryan K. Olsen, Jonathan S. Schmitt na Denelson Silva.

Wale wanaopenda kuungana nasi katika kutoa shukrani kwa huduma yao nzuri, tafadhali waonyeshe.

Tunaupumzisha Urais Mkuu wa Muungano wa Usaidizi ifikapo Agosti 1, 2022, kama ifuatavyo: Jean B. Bingham kama Rais, Sharon Eubank kama Mshauri wa Kwanza na Reyna I. Aburto kama Mshauri wa Pili.

Pia tunaupumzisha Urais Mkuu wa Msingi ifikapo Agosti 1, 2022 kama ifuatavyo: Camille N. Johnson kama Rais, Susan H. Porter kama Mshauri wa Kwanza na Amy A. Wright kama Mshauri wa Pili.

Wale wote wanaopenda kuungana nasi katika kutoa shukrani kwa wakina dada hawa kwa huduma yao ya kusifika, tafadhali waoneshe.

Inapendekezwa kwamba tuwaidhinishe wafuatao kama Sabini Wakuu wenye Mamlaka: Mark D. Eddy, James W. McConkie III, Isaac K. Morrison, Ryan K. Olsen, Jonathan S. Schmitt na Denelson Silva.

Wote wanaounga mkono, tafadhali onesheni.

Wale wanaopinga, kwa ishara hiyo hiyo.

Tunakujulisheni kwamba Sabini wa Maeneo wapya 45 walikubaliwa wakati wa mkutano mkutano mkuu wa uongozi uliofanyika Alhamisi, Machi 31, na baadae kutangazwa kwenye newsroom.ChurchofJesusChrist.org mapema wiki hii.

Tunakualikeni muwakubali katika majukumu yao mapya.

Wale wanaounga mkono, tafadhali onyesheni.

Yeyote anayepinga kwa ishara hiyo hiyo.

Inapendekezwa kwamba tuwakubali wafuatao kama Urais Mkuu mpya wa Muungano wa Usaidizi, utakaoanza kazi Agosti 1, 2022: Camille N. Johnson kama Rais, Jeannie Anette Dennis kama Mshauri wa Kwanza na Kristin Mae Yee kama Mshauri wa Pili.

Wale wanaounga mkono, waoneshe.

Yeyote anayepinga anaweza kuonesha vivyo hivyo.

Inapendekezwa kwamba tuwakubali wafuatao kama Urais Mkuu mpya wa Msingi, pia utaanza kazi Agosti 1, 2022: Susan H. Porter Kama Rais, Amy A. Wright kama Mshauri wa Kwanza na Tracy Y. Browning kama Mshauri wa Pili.

Wale wanaounga mkono, waoneshe.

Yeyote anayepinga anaweza kuonyesha.

Inapendekezwa kwamba tuwakubali Viongozi Wakuu Wenye Mamlaka, Sabini wa Maeneo, na Maafisa wakuu wengine kama ilivyo sasa.

Wote wanaounga mkono, tafadhali onesheni.

Wale wanaopinga, ikiwa kuna ye yote.

Tunakushukuruni, akina kaka na dada kwa imani na sala zenu endelevu kwa niaba ya viongozi wa Kanisa.

Mabadiliko kwa Sabini wa Maeneo

Sabini wa Maeneo wafuatao waliidhinishwa wakati wa kikao cha uongozi kilichofanyika kama sehemu ya mkutano mkuu:

Elzimar Gouvêa de Albuquerque, Roland J. Bäck, Raúl Barrón, Bruno V. Barros, Eric Baxter, Oscar Bedregal, Joep Boom, Michael P. Brady, Randall A. Brown, Kennedy F. Canuto, Stephen K. Christensen, Nathan A. Craig, Mark Anthony Dundon, Favio M. Durán, Amândio A. Feijó, Claude R. Gamiette, Scott L. Hymas, Jason C. Jensen, Roberto G. F. Leite, John W. Lewis, Paulo Renato Marinho, Blaine R. Maxfield, Eduardo R. Mora, David Ngabizele, João Luis Oppe, Justice N. Otuonye, Emanuel Petrignani, Daniel Piros, Craig W. J. Raeside, Nelson Ramírez, Alexey V. Samaykin, Jose Antonio San Gabriel, Jose Estuardo Sazo, Steven D. Shumway, Oswaldo J. Soto, Mark G. Stewart, Scott N. Taylor, Roseveltt de Pina Teixeira, Gordon L. Treadway, Harold Truque, Nikolai Ustyuzhaninov, Carlos Ernesto Velasco, Kyle A. Vest, Sergio Villa, Min Zu Wang