Misaada ya Kujifunza
Adamu-ondi-Amani


Adamu-ondi-Amani

Mahali ambapo Adamu aliwabariki wazao wake waliokuwa na haki miaka mitatu kabla ya kufariki (M&M 107:53–56) na ni mahali ambapo atafikia kabla ya wakati wa Ujio wa Pili (M&M 116).