Misaada ya Kujifunza
Rais


Rais

Jina la ofisa kiongozi wa shirika. Rais wa Kanisa ni nabii, mwonaji, na mfunuzi (M&M 21:1; 107:91–92), na waumini wa Kanisa watamwita nabii wa Kanisa kwa jina la “Rais” (M&M 107:65). Yeye ndiye mtu pekee duniani aliye na mamlaka ya kutumia funguo zote za ukuhani.

Viongozi wa akidi za ukuhani na jumuiya nyingine za Kanisa zaweza pia kuwa na jina la rais.