Misaada ya Kujifunza
Njoo


Njoo

Katika maandiko, daima humaanisha kusogea karibu na mtu kwa kufuata au kutii, kama vile ilivyo katika usemi “njooni kwa Kristo, na mkakamilishwe ndani yake” (Moro. 10:32).