Misaada ya Kujifunza
Madaraja ya Utukufu


Madaraja ya Utukufu

Tofauti za falme katika mbingu. Wakati wa Hukumu ya Mwisho, kila mtu atarithi mahali pake pa kuishi milele katika utukufu wa ufalme maalumu, isipokuwa wale walio wana wa Upotevu.