Misaada ya Kujifunza
Masadukayo


Masadukayo

Kundi dogo lakini kundi lenye nguvu sana kisiasa miongoni mwa Wayahudi. Wao labda walikuwa mashuhuri sana kwa ukakamavu wa Imani yao katika kutii kwa dhati sharia ya Musa na kwa kukataa uhalisi wa roho na malaika na pia mafundisho ya Ufufuko na uzima wa milele (Marko 12:18–27; Matendo ya Mitume 4:1–3; 23:7–8).