Misaada ya Kujifunza
Dhiraa


Dhiraa

Kipimo cha kawaida cha urefu miongoni mwa Waebrania—kwa asili ni urefu kutoka kiwiko cha mkono hadi ncha za vidole.