Misaada ya Kujifunza
Mwanafunzi


Mwanafunzi

Mfuasi wa Yesu Kristo ambaye huishi kulingana na mafundisho ya Kristo (M&M 41:5). Mwanafunzi linatumika katika kuwaelezea wale Mitume Kumi na Wawili ambao Kristo aliwaita wakati wa huduma Yake katika mwili wenye kufa (Mt. 10:1–4). Mwanafunzi pia hutumika katika kuwaelezea wale watu kumi na wawili ambao Yesu aliwachagua kuliongoza Kanisa Lake miongoni mwa Wanefi na Walamani (3 Ne. 19:4).