Misaada ya Kujifunza
Patten, David W.


Patten, David W.

Mshiriki wa Akidi ya kwanza ya Mitume Kumi na Wawili waliochaguliwa katika kipindi hiki cha siku za mwisho. David Patten alikufa katika kifo cha kwanza cha kishahidi cha Kanisa lililorejeshwa, akiwa ameuawa katika pambano la Mto Crooked katika Missouri katika mwaka 1838.