Misaada ya Kujifunza
Filipo


Filipo

Katika Agano Jipya, Filipo, wa Bethsaida, alikuwa mmoja wa Mitume Kumi na Wawili wa mwanzo wa Mwokozi (Mt. 10:2–4; Yn. 1:43–45).

Filipo mwingine alikuwa mmoja wa watu saba waliochaguliwa kuwasaidia Mitume Kumi na Wawili (Mdo. 6:2–6). Alihubiri katika Samaria na kwa towashi wa Ethiopia (Mdo. 8).