2016
Ninaweza kusoma Kitabu cha Mormoni
April 2016


Ninaweza kusoma Kitabu cha Mormoni

Picha
I can read the Book of Mormon

Maandiko ya Mwezi Huu

Baada ya kusoma kifungu cha maandiko, chora na kalamu za rangi katika sehemu zilizo na nambari zinazolingana kwenye Maji ya Mormoni!

  1. Mosia 21:14–16, 32–35

  2. Mosia 22:2, 10–16

  3. Mosia 24:8, 10–14

  4. Mosia 27:8, 11, 18–24

  5. Mosia 27:30–37

  6. Mosia 28:3, 5–15, 20

  7. Alma 8:11–16, 18–27

  8. Alma 11:38–46

Maji ya Mormoni

Alma alijificha kutoka kwa Mfalme muovu Nuhu karibu na mahali pa amani palipoitwa Maji ya Mormoni. Watu wengi walikuja kumsikiliza Alma akifundisha injili. Walitaka kubatizwa. Alma alipowabatiza, watu walitoa ahadi sawa na hizi, au maagano, tunayofanya wakati tunapobatizwa. Unaweza kusoma zaidi juu ya ahadi hizi katika ukurasa ufuatao.