2016
Utambuzi
April 2016


Picha
insights

Umaizi

Ni jinsi gani imani ya utotoni hukua na kuwa ufahamu na ushahidi?

“Siwezi kukumbuka wakati ambapo sikuwa nikiamini katika Baba wa Mbinguni na Yesu Kristo. Nimewapenda tangu nilipojifunza juu Yao magotini mwa malaika mama yangu, akisoma maandiko na simulizi za injili. Ile imani ya utotoni sasa imekua na kuwa ufahamu na ushahidi wa Baba wa Mbinguni mwenye upendo, ambaye anasikia na kujibu maombi yetu.”

Mzee Ronald A. Rasband wa Akidi ya Mitume Kumi na Wawili, “Ninashangaa Sana,” Liahona, Nov. 2015, 90.