2016
Kumfuata Nabii.
April 2016


Watoto

Kumfuata Nabii.

Manabii na mitume hunena kwa niaba ya Baba wa Mbinguni na Yesu Kristo. Wao hutufundisha namna ya kumfuata Yesu. Fuata njia ili upate baadhi ya vitu ambavyo nabii na mitume wametuagiza sisi tufanye.

Kielelezo na Val Chadwick Bagley