2019
Makala zenye Habari Maalumu za‑Kidijitali Pekee
Aprili 2019


Liahona ya Kidijitali

Makala zenye Habari Maalumu za‑Kidijitali Pekee

Liahona.lds.org

facebook.com/liahona

app ya Maktaba ya Injili

Je, Unaishi Injili kwa shingo upande?

Na Chakell Wardleigh

Ni nini hasa tofauti kati ya kuwa mwenye shughuli nyingi Kanisani na kuwa mtendaji katika injili?

Kufanyia mazoezi Misuli Yako ya Kiroho

Na Aspen Stander

Ili kuzuia kufifia kwa ushuhuda wetu, tunapaswa daima kujenga misuli yetu ya kiroho.