2019
Onyesha na Eleza
Aprili 2019


Onyesha na Eleza

Picha
Show and Tell
Picha
drawing of the temple

Napenda kutazama hekalu

Rebecca C., miaka 9, Aragua, Venezuela

Picha
Brooklyn B

Siku moja tulingia katika gari, halingeweza kuwaka. Tukaangalia injini, lakini bure. Nilihisi kwamba ninapaswa kusali. Kwa hiyo nilisali. Dakika chache baadaye gari liliwaka. Ninashukuru kwamba Baba wa Mbinguni daima anaweza kunisaidia.

Brooklyn B., miaka 9, Quetzaltenango, Guatemala

Picha
Sasha K

Ninapenda kucheza mpira na watoto wadogo na kuwafundisha mbinu mpya. Ni njia mojawapo ninayopenda kutumikia.

Sasha K., age 11, Moscow, Urusi

Picha
Vestina K

Miaka miwili iliyopita mvulana mgeni alijiunga na darasa letu shuleni. Alikuwa si mkarimu kwa wengine. Kila mmoja alianza kumchukia na kutokuwa mkarimu kwake. Ilionekana kumfanya awe na huzuni, hivyo sikufanya kile wengine walichofanya. Rafiki zangu kadhaa waligundua na kufuata mfano wangu. Naamini kwamba nilifanya kile Mungu anataka nifanye, nitakuwa mwenye furaha na salama. Naamini kwamba nikiwa na ujasiri na kuzungumza mawazo yangu, nitapata marafiki ambao watanipenda jinsi nilivyo.

Vestina K., age 11, Vilnius, Lithuania