2019
Amefufuka!
Aprili 2019


Picha
He Is Risen

Amefufuka! Amefufuka!

Sema kwa sauti ya shangwe.

Amefungua kifungo chake cha siku tatu;

Acha dunia yote na ishangilie.

Kifo kimeshindwa; mwanadamu yuko huru.

Kristo ameleta ushindi.

(“Amefufuka” Wimbo, no. 199.)