2019
Katika Sehemu Takatifu ya Bustani
Aprili 2019


Bustanini Tukufu

Kwa kutafakari = 60–68

Picha
Christ praying

Maelezo kutoka Gethsemane, na J. Kirk Richards; matawi ya mzeituni kutoka Getty Images

Picha
In a Sacred Garden Place

1. Katika sehemu takatifu ya bustani,

Nilikombolewa kwa neema Yako.

Ukisihi katika Gethsemane,

Mwokozi, Wewe uliomba kwa ajili yangu.

Mwokozi, Wewe uliomba kwa ajili yangu.

Chukua moyo wangu huu uliovunjika;

Acha mapenzi yangu yawe sawa na Yako.

Ukisihi katika Gethsemane,

Mwokozi, Wewe uliomba kwa ajili yangu.

Mwokozi, Wewe uliomba kwa ajili yangu.

2. Nimeona mwili Wako uliojeruhiwa,

Ishara ya zawadi Yako ya utayari.

Japo kwa wote, mateso Yako yawe,

Mwokozi, Wewe ulikufa kwa ajili yangu.

Mwokozi, Wewe ulikufa kwa ajili yangu.

Chukua moyo wangu huu uliovunjika;

Acha mapenzi yangu yawe sawa na Yako.

Japo kwa wote, mateso Yako yawe,

Mwokozi, Wewe ulikufa kwa ajili yangu.

Mwokozi, Wewe ulikufa kwa ajili yangu.

Na kikombe hiki kikigandamizwa kwenye mdomo wangu,

Nitanyenyekea, ninapokinywa,

Mwili, uliovunjwa, uliutoa kwa ajili yangu.

Nitashuhudia sasa kwa ajili Yako.

Nitashuhudia sasa kwa ajili Yako.

Chukua moyo wangu huu uliovunjika;

Acha mapenzi yangu yawe sawa na Yako.

Na mateso Yako yasiwepo tena,

Mwokozi, nitaishi kwa ajili Yako.

Mwokozi, nitaishi kwa ajili Yako.