2019
Wapendwa Wazazi,
Aprili 2019


Wapendwa Wazazi,

Picha
Dear Parents

Mwezi huu, Rafiki ina hadithi na shughuli kuisaidia familia yako kusherehekea Pasaka. Tunatumaini familia yako itafurahia kufikiria kuhusu Pasaka kipindi chote cha mwezi!

Tafadhi andika kutujulisha jinsi familia yako ilivyotumia hadithi na shughuli hizi.

Kuwa na Pasaka yenye baraka!

Rafiki

New Friend

50 E. North Temple Street, Room 2393

Salt Lake City, UT 84105 USA

liahona@ldschurch.org