2020
Busan, Korea ya Kusini
Oktoba 2020


Kanisa Liko Hapa

Busan, Korea Kusini

Picha
Busan, South Korea

Picha kutoka Getty Images

Busan ni nyumbani kwa moja ya vigingi 12 katika Korea Kusini. Makao makuu ya misheni yapo Busan. Hizi ni baadhi ya kweli kuhusu Kanisa Korea Kusini:

88,418

waumini

103

mikusanyiko

12

vigingi, wilaya 5, misheni 4

18

vituo vya historia ya familia

1

hekalu (Seoul)

1956

Wamisionari rasmi wa kwanza

1967

Kitabu cha Mormoni kilichapishwa kwa mara ya kwanza kwa Kikorea

1973

Kigingi cha kwanza kiliundwa

1985

Hekalu la Seoul liliwekwa wakfu

1991

Nakala ya milioni moja ya Kitabu cha Mormoni katika Kikorea