2020
Wapendwa Wazazi,
Oktoba 2020


Wapendwa Wazazi,

Picha
Dear Parents

Kila mtoto lazima alindwe na kutunzwa. Yesu aliweka mfano wa hili katika Kitabu cha Mormoni, kwa kumbariki na kumwombea kila mtoto (ona kurasa R20-23). Ni kwa jinsi gani tunaweza kuwabariki na kuwalinda watoto tunaowajua? Hapa ni baadhi ya mawazo:

  • Tunaweza kuwalinda kimwili na kuwafundisha kuheshimu miili ya watu wengine (ukurasa wa R12-13

  • Tunaweza kuwalinda kiroho kwa kuwahimiza kula sakramenti (kurasa za R2-3).

  • Tunaweza kuwafundisha kuomba msaada pale wanapohitaji (kurasa za R14-15).

Unaweza kuchagua ujumbe mmojawapo ili kusoma pamoja kama familia. Hakikisha watoto wako wajue jinsi gani wanavyopendwa.

Tunawapenda,

The Friend

© 2020 na Intellectual Reserve, Inc. Haki zote zimehifadhiwa

Tafuta Liahona iliyofichwa ndani!

Juu ya Jalada la Friend

Kielelezo na Jim Madsen