2020
Kaka wa Yaredi
Oktoba 2020


Watu kutoka Kitabu cha Mormoni

Kaka wa Yaredi

Picha
Brother of Jared

Alijenga mashua ili kuvuka bahari.

Aliona ono la kimiujiza, ambalo limeandikwa katika sehemu iliyofungwa ya mabamba (ona Etheri 4:4-5).

“Mkubwa na mwenye nguvu, na mtu aliyependelewa sana na Bwana” (Etheri 1:34).

Aliiongoza familia yake na marafiki kutoka kwenye Mnara wa Babeli kwenda nchi ya ahadi.

Alimuomba Bwana aguse mawe 16 ili yatoe mwanga kwenye mashua.

Aliongea na Yesu Kristo uso kwa uso (ona Etheri 3:13–20).