2020
Inamaanisha nini kuongolewa kweli?
Oktoba 2020


Njoo, Unifuate: Kitabu cha Mormoni

Inamaanisha nini kuwa na uongofu wa kweli?

3 Nefi 274 Nefi

(Oktoba 19-25)

Picha
What does it mean to be truly converted

Baada ya Mwokozi kuonekana kwa Wanefi, walipitia karibu miaka 200 ya umoja na amani kwa sababu “wote walimgeukia Bwana” (4 Nefi 1:2).

Furaha na Umoja

Wanefi walikuwa na furaha na waliungana kupitia matendo yao mema (ona 4 Nefi 1:2-15).

  • Walikuwa wazuri na wakarimu kwa kila mmoja.

  • Walifuata amri za Kristo.

  • Walikuwa wanyenyekevu katika kufunga na kusali.

Ni ipi baadhi ya mifano ya matendo ya haki ya Wanefi? Unaweza kusoma 4 Nefi 1:2-15 na kujaza nafasi za wazi kwa mifano zaidi unayoipata:

  • _______________________________________________________________

  • _______________________________________________________________

Huzuni na Mgawanyiko

Kwa bahati mbaya, miaka hiyo ya umoja na furaha haikudumu milele. Mwishowe, Wanefi waliacha kutii amri za Mungu (ona 4 Nefi 1:24-31) Kwa kufanya hivyo:

  • Wakawa wabinafsi na wenye kiburi.

  • Walijenga makanisa yao wenyewe kwa faida ya kifedha.

  • Walilikataa Kanisa la Kristo