Misaada ya Kujifunza
Kuwajibika, Uwajibikaji, Wajibika


Kuwajibika, Uwajibikaji, Wajibika

Bwana amesema kwamba watu wote wanawajibika kwa nia zao wenyewe, mitazamo yao, tamaa zao, na matendo yao.

Umri wa uwajibikaji ni umri ule ambapo watoto wanafikiriwa kuwajibika kwa ajili ya matendo yao na kuweza kutenda dhambi na kutubu.