Misaada ya Kujifunza
Yuda Iskariote


Yuda Iskariote

Mmoja wa Mitume Kumi na Wawili wa Yesu katika Agano Jipya (Mt. 10:4; Mk. 14:10; Yn. 6:71; 12:4). Jina lake la ukoo linamaanisha “mtu wa Keriothi.” Alitoka katika kabila la Yuda na alikuwa ndiye Mtume pekee ambaye hakuwa Mgalilaya. Yuda alimsaliti Bwana.