Misaada ya Kujifunza
Pratt, Parley Parker


Pratt, Parley Parker

Kaka mkubwa wa Orson Pratt na ni mmoja wa Mitume Kumi na Wawili wa kwanza walioitwa baada ya Urejesho wa Kanisa katika nyakati za sasa (M&M 124:128–129). Parley Pratt aliitwa katika safari kadhaa za kwanza za kimisionari wakati Bwana alipotoa ufunuo kwake kupitia Joseph Smith katika Oktoba 1830 (M&M 32; 50:37).