Misaada ya Kujifunza
Limhi


Limhi

Katika Kitabu cha Mormoni, ni mfalme mwadilifu wa Wanefi katika nchi ya Nefi; alikuwa mwana wa Mfalme Nuhu (Mos. 7:7–9). Mfalme Limhi aliingia katika agano la kumtumikia Mungu (Mos. 21:32). Aliwaongoza watu wake kutoka katika utumwa wa Walamani na kurejea Zarahemla (Mos. 22).