Misaada ya Kujifunza
Cowdery, Oliver


Cowdery, Oliver

Mzee wa pili wa Kanisa lililorejeshwa na ni mmoja kati ya Mashahidi Watatu wa chimbuko na ukweli wa kiungu wa Kitabu cha Mormoni. Alitumika kama mwandishi wakati Joseph Smith alipokuwa akitafsiri Kitabu cha Mormoni kutoka katika mabamba yale ya dhahabu (JS—H 1:66–68).