Misaada ya Kujifunza
Methusela


Methusela

Mwana wa Henoko katika Agano la Kale. Methusela aliishi miaka 969 (Mwa. 5:21–27; Lk. 3:37; Musa 8:7). Alikuwa nabii mwadilifu aliyeachwa duniani wakati mji wa Henoko ulipotwaliwa mbinguni. Alibaki duniani ili kutoa uzao ambao kupitia huo Nuhu angelikuja (Musa 8:3–4).