Misaada ya Kujifunza
Mpango wa Ushirika


Mpango wa Ushirika

Mfumo ambao kupitia huo Watakatifu katika siku za mwanzoni za urejesho wa Kanisa walijaribu kuishi katika sheria ya kuweka wakfu. Watu waliweka na kutumia kwa pamoja, mali, bidhaa, na faida, wakipokea vitu hivi kulingana na vile walivyopangiwa na kulingana na mahitaji yao (M&M 51:3; 78:1–15; 104).