Misaada ya Kujifunza
Lipa zaka, Zaka


Lipa zaka, Zaka

Sehemu moja ya kumi ya mapato ya mtu kwa mwaka aitoayo kwa Bwana kupitia katika Kanisa. Fedha za zaka hutumika kwa kujenga makanisa na mahekalu, kusaidia kazi ya kimisionari, na kujenga ufalme wa Mungu duniani.