Misaada ya Kujifunza
Whitney, Newel K.


Whitney, Newel K.

Kiongozi wa awali kabisa katika Kanisa la urejesho. Newel K. Whitney alikuwa askofu katika Kirtland, Ohio (Marekani), na baadaye alitumikia kama Askofu Msimamizi wa Kanisa (M&M 72:1–8; 104; 117).