Misaada ya Kujifunza
Peponi


Peponi

Sehemu ile ya ulimwengu wa roho ambamo ndani yake roho walio waadilifu ambao wameondoka katika maisha haya hungojea ufufuko wa mwili. Ni hali ya furaha na amani.

Peponi pia hutumika katika maandiko ili kumaanisha ulimwengu wa roho (Lk. 23:43), ufalme wa selestia (2 Kor. 12:4), na hali ya dunia iliyotukuzwa kimilenia (M ya I 1:10).