Misaada ya Kujifunza
Maji ya Uzima


Maji ya Uzima

Mfano wa Bwana Yesu Kristo na mafundisho Yake. Kama vile maji yalivyo muhimu kwa kutupa uzima wa kimwili, Mwokozi na mafundisho Yake (maji ya uzima) ni muhimu kwa uzima wa milele.