Misaada ya Kujifunza
Mwamba


Mwamba

Kitaswira, Yesu Kristo na injili Yake, ambao ndiyo msingi na msaada imara (M&M 11:24; 33:12–13). Mwamba pia waweza kumaanisha ufunuo, ambao kwa huo Mungu hufanya injili Yake ijulikane kwa wanadamu (Mt. 16:15–18).