Misaada ya Kujifunza
Amri za Mungu


Amri za Mungu

Sheria na matakwa ambayo Mungu huyatoa kwa wanadamu, kwa mtu binafsi au kwa kikundi. Kushika amri za Mungu kutamletea baraka za Bwana na kwa aliye mtiifu (M&M 130:21).