Misaada ya Kujifunza
Baba wa Mbinguni


Baba wa Mbinguni

Baba wa roho za wanadamu wote (Zab. 82:6; Mt. 5:48; Yn. 10:34; Rum. 8:16–17; Gal. 4:7; 1 Yoh. 3:2). Yesu ndiye Mwanawe wa Pekee katika mwili. Mwanadamu ameamriwa kutii na kutoa heshima kwa Baba na kumwomba Yeye katika jina la Yesu.