Misaada ya Kujifunza
Balaamu


Balaamu

Nabii katika Agano la Kale ambaye alitaka kuilaani Israeli kwa ajili ya fedha. Aliamriwa na Bwana asiilaani Israeli (Hes. 22–24).