Misaada ya Kujifunza
Yeriko


Yeriko

Mji uliozungushiwa ukuta katika bonde la Yordani ulio futi 800 (mita 245) chini ya usawa wa bahari. Yeriko uko karibu na mahali ambapo Waisraeli walivuka mto wakati walipoingia kwa mara ya kwanza katika nchi ya ahadi (Yos. 2:1–3; 3:16; 6).