Misaada ya Kujifunza
Waanti-Nefi-Lehi


Waanti-Nefi-Lehi

Katika Kitabu cha Mormoni, ni jina lililotolewa kwa Walamani walioongolewa na wana wa Mosia. Baada ya wongofu wao, watu hawa, ambao pia waliitwa watu wa Amoni, waliendelea kuwa waaminifu katika maisha yao yote (Alma 23:4–7, 16–17; 27:20–27).